HALLELUJAH DIAMOND YATINGA NAMBA MOJA BBC 1XTRA UK

OMG! Mkali Chibu Dangote a.k.a DiamondPlatinumz ameweka Historia ya kuwa namba moja kweny Music chart ya Bbc 1xtra UK kwa wimbo wa Hallelujah Aliowashiriki kundi la Morgani Heritage wa Jamaica.


Wimbo wa Hallelujah umempa Credit Mkali DiamondPlatnumz kwa kufikisha viewers million moja kwa masaa kumi na tano na pia kufanya vizuri EastAfrica,Africa na duniani kote,Kwenye Music Chart ya AfroBoss kupitia Bbc1xtra Mkali DiamondPlatnumz ameongoza chart hiyo kwa kushika namba moja huku Inde ya Heavy K imeshika namba mbili,Maradona ya Niniola imeshika namba tatu,namba nne ni My Baby ya Magnom na Namba tano  umesimama Wimbo wa Nhema wa Exq.

TAZAMA HAPA CLIP YA VIDEO YA WIMBO WA HALLELUJAH UKICHEZWA BBC1XTRA

 
     ITAZAME HAPA VIDEO YA DIAMONDPLATNUMZ FT MORGAN HERITAGE-HALLELUJAH