GOSBY 'NAWAKUBALI SANA OMG'

Mkali wa miondoko ya Trap Music Bongo GosBy amekiri kuwa kundi la OMG ambalo lipo chini ya Switch Music ya Quickrocka.


Akihojiwa katika kipindi cha ThePlaylist ya Times Fm na mtangazaji Lilommy,Gosby amesema kuwa anawapenda sana OMG ''nawapenda sana OMG because nikisikiliza kazi zao huwa zinaniremind jinsi nilivyokuwa nafanya those kids they sound like me,wanachagua beats kali sana pia napenda jinsi wanavyospit bars.'' amesema Mkali GosBy

Pia Lilommy alimuuliza kwanini alikaa kimya kwenye game kwa muda mrefu akasema kuwa Mwanzo nilikuwa Mbele ya Muda so now nadhani hii ni time nzuri ya kufanya kazi because this generation ndiyo wanauelewa aina ya mziki nnayofanya mimi.

CHECK HAPA QUICKROCKA ALIVYOSEMA ANAIKUBALI HALLELUJAH YA DIAMOND: