GOD ZILLA:NINAFUNGUA MUSIC LABEL

Mkali wa HipHOP Nchini Tanzania God Zilla amesema kuwa moja ya plan zake kwa mwaka huu ni kufungua music label.


God Zilla alitangaza kuwa anamiliki Studio na anafanya productions za beat pia ametangaza kusajili wasanii kwenye Music Label ya OneLabel.''Plan niliyonayo mwaka huu ni kusajili wasanii wa kila design ambayo watakuwa chini ya label ya One Label na pia nafanya production mwenyewe.'' Amesema GodZilla.

 TAZAMA HII HAPA BILLNAS ALIVYOSEMA KUWA HANA TATIZO NA GODZILLA