DESPACITO YAFIKISHA WATAZAMAJI BILLIONI 4 YOUTUBE...

Luis Fonsi na daddy yankee bado wanaendelea kutamba na Club Banger yao ""DESPACITO'' ambayo imeachiwa miezi nane iliyopita. Baada ya kusumbua sana katika chati kubwa za muziki duniani ikiwemo billboard na nyinginezo.

Sasa katika mtandao wa Youtube, DESPACITO imefikisha watazamaji billioni 4 na kuwa video ya kwanza kuwa na watazamji wengi zaidi ikifuatiwa na Wiz Khalifa- See you Again iliyotazamwa mara billioni 3.15 pamoja na  PSY - Gangnam Style yenye watazamaji billioni 2.97.

Itazame DESPACITO hapa chini...