DAVIDO AHAIRISHA KUFANYA SHOW KISA..?

Mkali Davido Adeleke a.k.a Davido kutoka Nchini Nigeria ametangaza kuwa anavunja show ambayo ilibidi ifanyike.


 Davido alitangaza kupitia Snapchat na kuandika:

''To all my fans expecting me at Felabration , I’m sorry, I will not be performing anymore.
I promise to make it up. I love you guys! Everyone stay prayed up! I love each and everyone of you
Following the snap about the cancellation was another which said: “Mathew 5:4,” which reads: “Blessed are those who mourn, for they will be comforted,” referencing his 2 friends, DJ Olu and Tagbo, who both passed recently''.


Akimaanisha kuwa ''kwa mashabiki zangu wote wanaonitarajia,Samahani.sitafanya show tena.Naahidi kuifanya.nawapenda sana!kila mmoja aendelee kuomba!nawapenda kila mmoja wenu.'
Inayofuata ni Snap ambayo ni ya kuvunja show., ''Mathew 5.4''ambayo inasema,kheri ya wale wanaoomboleza kwa sababu watafarijiwa,'' Aliandika Davido kwa kuhusisha kifo cha Marafiki zake Wawili DJ Olu na Tagbo.

Pia Mkali Davido amezigawa Tuzo zake ameandika kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya kupokea ushindi wa tuzo za muziki za Africa Muzik Magazine Awards & Music Festival (AFRIMMA)Davido ametoa ushindi  huo kwa marafiki zaake Tagbo na DJ Olu waliofariki wiki kadhaa zilizopita.

                                                         tuzo aliyoipata afrimma na kuzigawa