COPIED: JE, UNAJUA KUA TY DOLLA $IGN KA COPY NYIMBO YAKE MPYA?

TY DOLLA $IGN ni moja kati ya wasanii amabao tumewamiss kitambo sana tokea watoe album,  kweli! Ty Dolla $ign katoa album mwezi september aliyoipa jina la ''2 TAYLOR GANG'' lakini haijafanya poa na hicho niyo kimepelekea kutangaza ujio mpya wa albam ambayo ni muendelezo wa zile zilizopita ''BEACH HOUSE'' sasa hii ni ''BEACH HOUSE 3''.
''X'' aliyomshirikisha YG ni moja ya nyimbo alizoziachia na kuendelea kusumbua chart tofauti tofauti za muziki duniani, lakini kikubwa kutoka katika nyimbo hiyo ni kwamba beat yake imekua ''sampled'' kutoka katika nyimbo ya washikaji wa kundi la BADBOY, 112 ft Biggie & Mase-ONLY YOU.

BEACH HOUSE inatarajiwa kutoka octoba 27

Isikilize X hapa chini...
Maggie VAMPIRE 'KUNA MODELS BONGO WANAFANYA VIDEOS BURE ILI KUONEKANA TU'