BURNA BOY'SIWAPENDI WAHUBIRI NA WACHUNGAJI'

Mkali wa miondoko ya Reggae,Dancehall Singer Domini Ogulu a.k.a BurnaBoy kwa sasa anatrend kwa Wimbo wake wa Rock your Body ameweka wazi kuwa hawapendi Wahubiri na Wachungaji.


 Kupitia ukurasa Wake wa Twitter Mkali Burna Boy ametweet na kuandika ujumbe mfupi unaohusisha kutowakubali wachungaji na wahubiri.check Tweet Yake Hapa

PIA UNAWEZA CHECK WIMBO WA BURNABOY ROCK YOUR BODY HAPA