Baba Yake Drake Ameamua Kulipiza, Angalia Alichomfanyia Drake

Drake ni miongoni mwa wasanii wenye Tattoo nyingi kwenye miili yao, Idadi kubwa ya Tatto za Drake ni sura za watu ikiwemo ya baba yake mzazi "Denis Graham" aliyoichora mwaka 2014.

Kwa mujibu wa TMZ, Baba yake Drake amejibu mapigo kwa kuchora  Tattoo yenye sura ya rapa huyo kwenye mkono wake wa kulia.Hii inakua mara ya pili kwa Drake kupewa shavu na Baba yake, Tofauti na sura yake Mzee Denis Graham anayo tattoo ya chama la "OVO Sound" kwenye mkono wake wa kushoto.CHEGE "Mimi naamini JUMA NATURE Dakika yoyote anaweza tena akaweka Ngoma Namba Moja: