Aslay ameingia namba 3 on Trending YouTube baada ya kutoa VIDEO yake Mpya jana #Natamba, itazame hapa

Aslay ametoa VIDEO yake mpya Natamba na kufika namba 3 on trending kwenye mtandao wa YouTube, Aslay aliahidi kuwa atakuwa anatoa ngoma mpya na VIDEO mpya Back2Back kila baada ya mwezi, Mpaka Sasa Aslay anaongeza idadi ya kutoa ngoma 12 fasta fasta kwa muda mchache toka ameanza kufanya kazi kama Solo Artist.

Katika ngoma hii, Aslay ametaja majina ya mastaa wa Kike Bongo akiwepo Wema Sepetu, Hamisa Mobeto na Lulu Michael.ASLAY 'Mimi ni Shabiki mkubwa sana wa Beka Flavour, Watu wanasema tuna beef?! ... labda'