Angalia Official Music Video Ya @Reekadobanks Inaitwa Easy Jeje


Mshikaji anaitwa Ayoleyi Hanniel Solomon, "Turn It Up" aliyomshirikisha Tiwa Savage ndio ngoma iliyomtambulisha kwenye ramani ya muziki baada ya kulamba dili ya kusainiwa Mavin Records ya mtu mzima DonJazzy,

Albamu yake Spotlight aliyoiachia Septemba 1 ilifanikiwa kushika namba 10 kwenye chati za Billboard Top Albums kwa wiki zake mbili za mwanzo, Albamu hiyo yenye ngoma 21 ikiwemo Move aliyompa mashavu Dada wa kwetu Vee Money.


Reekado Banks amerudi tena na chupa jipya linaitwa "Easy Jeje" Mzigo umefanyika Atlanta Georgia, Cheki nayo hapa:

Maggie VAMPIRE 'KUNA MODELS BONGO WANAFANYA VIDEOS BURE ILI KUONEKANA TU':