AMBER LULU PREZZO Mwanaume, Mi Mwanamke so kitu chochote kunaweza kutokea.

Baada ya kuzagaa video clip kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Amber Lulu na Prezzo wakijiachia na malavi diva, Amber Lulu amesema kuwa Prezzo ni Mwanaume na Yeye ni Mwanamke so chochote kinaweza kutokea!

Tazama hapa chini: