ALICHOKIPOST WEMA SEPETU KUMTAKIA HAPPY BIRTH DAY DIAMOND PLATNUMZ

Tanzanian sweet heart Madame Wema Sepetu amemtakia heri ya siku ya kuzaliwa Mkali Diamond Platnumz na amepost picha ya zamani ya Diamond Platnumz.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Madam Wema Sepetu amemtakia kheri ya siku ya kuzaliwa Heat Maker wa wimbo wa Hallelujah Diamond Platnumz kwa kupost picha yake ya utoto itazame hapa.


KAMA ULIPITWA NA HII ITAZAME HAPA DIAMOND ALIMUOMBEA KURA MKALI ALLYKIBA