Mwaka Mmoja Baada Ya Kuachiwa, Vitu Vya Kufahamu Kuhusu "Do You Mind" Ya DJ Khaled


Do You Mind ni ngoma ya mwanamuziki DJ Khaled, Julai 28 Audio ya ngoma hiyo iliachiwa rasmi kama ngoma ya 4 kutoka kwenye Albamu ya 9 ya Dj Khaled "Major Key" chini ya We The Best Music na Epic Records .

Kwenye "Do You Mind" wameshirikishwa Nicki Minaj, Chris Brown, Jeremih, Future, August Alsina na Bosi wa MMG "Rick Ross,

Do You Mind ilitengenezwa kwa kutumia vionjo vya sampuli ya "Lovers And Friends" ya Lil John, The East Side Boyz, Usher na Ludacris ambayo ilikua sampled kutoka kwenye "Lovers and Friends" ya Michael Sterling kutoka kwenye Albamu yake "Trouble" ya mwaka 1990,
Verse ya Future kwenye Do You Mind ilikua sampled kutoka kwenye "Money Ain't a Thang" ya Jermaine Dupri na Jay Z,Do You Mind ilikua Certified Platinum na RIAA.

Video ya ngoma hiyo ilionekana kwa mara ya kwanza Oktoba 4, 2016 kwenye usiku wa Tuzo za  BET Hip Hop na kupandishwa youtube siku iliyofuata yaani oktoba 5,2016 Leo Oktoba 4, 2017 Video hiyo inatimiza mwaka mmoja tangu kuachiwa kwake ikiwa na zaidi ya watazamaji milioni 158, Pia iliwahi kuwepo kwenye namba 1 kwenye chati za Billboards Top 100 kwa wiki mbili mfululizo.

Tuachie Komenti yako kwa kutuambia Nani alifanya poa kwenye ngoma hiyo?  MAGGIE VAMPIRE - MODEL WA BONGO ALIYEFANYA VIDEO NA DAVIDO: