Zari amwambia Diamond Usinijaribu, ameamka na ujumb huu leo

Baada ya Diamond kukubali kuwa mtoto ni wake aliyezaa na mrembo Hamisa Mobeto, katika maelezo yake alisema kuwa yeye na mzazi mwenzake Zari the bosslady waliongea kuhusu ishu hiyo lakini kupitia Snapchat ya Zari aliandika maneno haya.
“Hahahaha unajidanganya, unasema uongo kuhusu mimi kujua kuhusu michepuko yako, malizana na balaa ulilolianzisha. Mimi kunyamaza haimaanishi ni mpumbavu. Kuwa makini na maneno yako.” katika Snap ingine pia Zari aliandika
 
“Inawezekana mimi ni mama wa watoto wako ndio maana nimeamua kunyamaza kimya. Labda ugoogle kuhusu ‘defamation of character law suit’, usinijaribu.”

Sept 20 Zari akaamka na Ujumbe huu instagram:


Huku mrembo Hamisa Mobeto nae akiendela kuchafua instagram kwa mapicha picha ya Mtoto wake akiwa na Babu yake (Baba yake na Diamond - Mzee Abdul)