WAKAZI 'MIMI NA NIKKI MBISHI NDIO WASANII WENYE NYIMBO NYINGI BONGO'


 

Member wa kundi la SISI SIO KUNDI  (SSK),WAKAZI amesema ni moja ya wasanii bongo wenye nyimbo nyingi  na katika HIP HOP yeye pamoja na Nikki Mbishi ndio wasanii pekee wenye nyimbo zaidi ya 100 ambazo zimeshatoka.
Hesabu hii Wakazi alijumlisha nyimbo zake zote ambazo ziko kwenye mixtape zake pamoja na collabo alizofanya.
Pia Wakazi anampango wa kuachia album yake mpya ambayo inakuja hivi soon na inaitwa KISIMANI.