VIDEO: Tazama UZINDUZI wa DUKA Jipla la TECNO #SMARTHUB


Tecno wamezindua Duka lao jipya la kuuza Simu kali za Smartphone na vifaa vyake.

Duka lipo Kariakoo, China Plaza ambalo linawaletea wajanja wote simu kali na vifaa vyake kwa bei poa.

Angalia jinsi ambavyo uzinduzi wa Duka hilo la SMART HUB lilivyozinduliwa.Picha