Toni Braxton amerudi tena kwenye game

Toni Braxton amerudi tena na kuachia
ngoma na video yake mpya "Deadwood."

"Deadwood" ni wimbo wa kwanza WA Queen wa R&B, Toni B kutoka kwenye album yake ya 8 "Sex & Cigarettes" inayotarajiwa kutoka January mwaka 2018 na ni wimbo ambao umetoka kutambulisha album hiyo.

Album hiyo itatoka chini ya Def Jam Recordings.

Toni Braxton alisema "nafuraha sana kufanya nachopenda kufanya siku zote, album inatoka mwakani inaitwa Sex & Cigarettes na najiona nimekuwa mtu mzima sana kwenye album hii nitakuwa huru kuongea chochote nachojisikia kwa kuwa nimepevuka sana na nisingependwa kuangaliwa nini nifanye na nini nisifanye."

"I’m excited to be doing what I love doing," the star recently told The Insider. "The new album comes out at the top of the year and it’s called Sex & Cigarettes. I feel like I’m older, I want to say what I feel, I don’t want to be censored."

Alipozunguzmia video yake mpya "Deadwood," alisema ni video kali ambayo itakuwa sexy -- kwa hiyo, tutaiangalia kwa kurudia rudia sana. Kuna jamaa ana mvuto sana na nadhani kuna vingi tutaviangalia kutoka kwake, macho yake ya candy.

she said it was going to be extremely sexy -- so, we'll definitely be watching on repeat. "There is this guy in the video who’s super sexy," said Braxton. "I think we’re going to be seeing a lot of him. He’s great eye candy."