Tiwa Savage aachia mixtape yake 'Sugarcane'


First lady wa Mavin Records Tiwa Savage ameamua kufuata nyendo za msanii za Wizkid kwa kuachia Mixtape yake ‘Sugarcane’.


Mixtape hiyo iliyotoa leo inajumla ya ngoma sita itauza kiasi cha dola 5.94 sawa na kiasi cha shilingi 13,327.53 za kitanzania na ngoma kama ‘Ma Lo’ aliyomshirikisha Wizkid na Spellz pamoja na ‘All Over’ zitapatika humo.


Ngoma zingine zitakazopatikana ni ‘Sugarcane’ inayobeba jina la mixtape hiyo ‘Get It Now’, ‘Me & You’ na ‘Hold Me Down’. Bongo5

TAZAMA INTERVIEW Hii - YOUNG D 'Machalii wengi wanapenda kujiona wao ndio THE BEST, wao wakali ni UBOYA tu'