Tidal ya JAY-Z imemkumbuka 2 Pac Kwa kutengeza list hii ya ngoma 40 za Pac.

Sept 13 ilikuwa ni ya kumbukumbu ya miaka 21 ya kifo cha Rapa 2 Pac Shakur name watu wengi mastaa waliomposti kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya media kumkumbuka kwa namna walioweza. Mtu Kama P Diddy alimposti nae na kusema Pac alikua ana akili sana kitu kilichoshangaza watu sababu Diddy alikua swaiba mkubwa wa Biggie Notorious BIG na wao waliingia na beef zito na Pac.

Kingine pia Jay Z ni mtu ambae ameonekana kuwa upande wa Biggie Notorious BIG sasa imekuaje nae ametumia mtandao wake wa kusikiliza muziki wa TIDAL na kutengeneza playlist maalum ya nyimbo 40 za Pac kumkumbuka.

List ya ngoma hizo ni hii apa.

Tracks on playlist

1. Ambitionz Az A Ridah 

2. Holler If Ya' Hear Me 

3. Got My Mind Made Up

4.cKeep Ya Head Up 

5. California Love 

6. I Get Around

7. All About U

8. 2 Of Amerikaz Most Wanted

9. Trapped 

10. If I Die 2Nite 

11. Dear Mama 

12. Brenda's Got A Baby 

13. One Day At A Time (Em's Version)

14. Runnin (Dying To Live)

15. I Ain't Mad At Cha 

16. Me Against The World

17. So Many Tears 

18. Temptations 

19. If My Homie Calls 

20. Picture Me Rollin' 

21. Jealous Got Me Strapped Spice 1

22. To Live & Die In L.A. 

23. One Day At A Time 

24. Runnin' (Dying To Live)

25. R U Still Down? (Remember Me)

26. How Do U Want It 

27. Tell Me What That Mail Like Spice 1

28. The Realist Killaz 

29. Definition Of A Thug Nigga

30. Dusted 'N' Disgusted E-40

31. Million Dollar Spot E-40

32. Thug Passion 

33. Biggie/Tupac Live Freestyle (Funkmaster Flex & Big Kap Feat. DJ Mister Cee, Notorious B.I.G & Tupac)
Funkmaster Flex

34. Smile Scarface

35. Hit 'Em Up 

36. Death Around The Corner

37. Hail Mary 

38. How Long Will They Mourn Me?
2Pac

39. Bury Me A G Thug Life

40. Pour Out A Little Liquor