TID MNYAMA AKEMEA WANAOTOA NYIMBO NYINGI KWA WAKATI MMOJA


khaleed mohammedy a.k.a Tid Mnyama amepinga suala la wasanii wa Bongo Flavour kutoa nyimbo mara kwa mara,

 TID MNYAMA

mwanamuziki mkongwe Tid mnyama amepinga suala la wasanii wa Bongo Fleva kutoa nyimbo back to back na kusema'' to me ukinambia  kutoa nyimbo nyingi kwa wakati mmoja kwanza nadhani ni kujishusha in one way or another tunajishusha,hapa sio marekani,marekani market yao ni kubwa sana wakitoa nyimbo mbili kwa wakati mmoja sio vibaya lakini kwa Tanzania ukitoa nyimbo mbili kwa pamoja utakuwa umeikosa hela ya wimbo wa kwanza''
ukitoa nyimbo kwa mpangilio ni kukusanya kipato kwa kazi uliyoifanya,wimbo utapigwa utanunuliwa utakupa hela nyingi sana..,''this market is very small'' ameongeza  TID