Tazama Show ya Pili ya Msimu Mpya wa Coke Studio Africa


Msimu mpya wa Coke Studio Africa umerudi tena na Safari hii kukiwa na wakali kibao wa Kibao wakifanya Cover, Original Songs na Throwback huku kukiwa na Big Break ya msanii chipukizi kupewa shavu la kutoboa.

Tazama Kipindi cha Pili cha Msimu Mpya wa COKE STUDIO AFRICA, kuna wakali kibao humu ndani akiwemo Alikiba, Sauti Sol, Chidinma na wengine kibao.


Gundua Mziki kwenye Coke Studio Africa ikikuletea burudani kali ya kusisimua.

Utamu unaaza pale ambapo wasanii wanakutana kurudia nyimbo zao wao wenyewe huku msanii huyu akirudia ngoma ya huyu na yule akirudia mkono wa mwenzake.

Picha zaidi