TAZAMA PICHA ZA MKALI WIZKID ALIVYOKIWASHA KWENYE UKUMBI WA ROYAL ALBERT HALL-LONDON

Mkali Wizkid kutoka Nigeria jana alikiwasha kwa kupiga show la kibabe kwenye ukumbi wa Royal Albert Hall nchini London.

Tazama hizi picha hapa zinazomuonesha Hitmaker wa Closer Daddy yo aka Wizkid akiwa kwenye stage na mandhali ya kibabe ya ukumbi huo kwenye show hiyo.
CHECK JINSI MKALI KUTOKA SOUTH AFRICA NASTY C ALIVYOKUJA BONGO NA KUELEZA MIPANGO YAKE YA KUFANYA NGOMA NA RAYVANNY NA DIAMONDPLATNUMZ: