SIPO KWENYE MAHUSIANO KWA KIPINDI CHA MWAKA MZIMA SASA

mkali wa comedy bongo mkali wao ameelezea hisia zake na kusema kuwa hayupo kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa kipindi cha mwaka mmoja sasa.


 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

hata hivyo mkali wao ametoa sababu za kutokuwepo kwenye mahusiano kwa muda wote huo,''sipo kwenye mahusiano kwa sababu nyingi unajua nisiwe muongo mimi nimechunguza na nimejua vitu vingi tofauti,mahusiano ya sasa hivi ni lazima uwe na hali fulani ya kimaisha,wasichana wengi wa sasa hivi wanataka hela unajua alafu wakisikia mkali wenu wanazani watakukuta na gari wanaimagine wakija watakuta na miela.  licha ya kuigiza lakini ni muwazi sipendi kudanganya kwenye mahusiano'' mkali wenu ni mmoja kati ya watu ambao wameleta mapinduzi makubwa kwenye tasnia ya uchekeshaji bongo na kuwa maarufu nchini.