SHETTA KUPIGA SHOW SWEDEN OCT 14Mkali wa Bongo Fleva Shetta atadondoka SWEDEN October 14, 2017 kupiga show na kupagawisha mashabiki wa pande hizo.

Kupitia page yake ya instagram, Shetta aliposti picha ya show hiyo na kuandika SWEDEN SWEDEN SWEDEN CONFIRMED ON 14/10/2017...  KILIMANJARO NIGHT!! I WILL BE PERFORM LIVE ON THE STAGE TELL A FRIEND TO TELL A FRIENDS ITS GONA BE FIRE 🔥🔥💥💪 SEE YOU SOON 😎 


Katika show hiyo iliyopewa Theme ya Kilimanjaro Night kutakuwa na maonesho ya sanaa mbalimbali, vyakula vya asili na kuzungumzia tamaduni za Kitanzania.

Ticket zinapatikana kwenye mtandao WWW.BILLETTO.SE/SV/E/OREBRO-KILIMANJARO-NIGHT-BILJETTER-193478.

Show hiyo itakuwa ndani ya KULTURHUSET ORENTO, JARNVAGSGATAN 870362 OREBRO.

ASALY 'Msanii wa kwanza kumuona LIVE ni Mh Temba'