Sababu Ya Tinted Na Madawa Young Thug Mikononi Mwa Polisi Kwa Mara Nyingine


Jeffery Lamar Williams AKA Young Thug ametajwa tena kwenye makosa ya uhalifu yaliyosababisha akamatwe na Polisi wikiensi iliyopita,

Taarifa zinadai rapa huyo kutoka Atlanta alikamatwa Jumamosi ya Wiki iliyopita pande za Georgia  kwa kile kilichotajwa ni kuvunja Sheria za mji wake kwa kutembelea gari lililokua limepigwa Tinted mwanzo mwisho huku akivuta Ganja ndani ya gari,

Speaking about Thugger Thugger, amekua ni mtu wa misala ya uvunjaji sheria mara kadhaa, Mwezi Aprili mwaka huu alipigwa faini kwa kosa lingine la kukutwa na madawa ya kulevya, Kesi yake ya kumtia vitasa mwanamke mmoja kwenye moja ya Night Club ilifutwa mwezi huo huo baada ya Jaji kusema hapakua na ushahidi wa kutosha kuendesha ishu hiyo.Angalia Jinsi P SQUARE Walivyozinguana, Mtiti mzito!, Kundi Lavunjika?