Rappa Young Dolph Amepigwa Risasi Pande Za Hollywood, Yo Gotti Ni Mtuhumiwa Namba Moja

Rappa YO Gotti ametajwa kama mtuhumiwa namba moja wa shambulio la Risasi lililomuacha kwenye hali mbaya Rappa Adolph Thornton, Jr. maarufu kama Young Dolph,

Kwa mujibu wa walioshuhudia tukio hilo wamesema Young Dolph amepigwa risasi nyingi ambazo hazijaweza kujulikana idadi yake haraka,

Kwenye hii Video Clip unayoenda kuingalia hapa Chini utaona matone ya damu iliyomwagika kutoka mwilini mwa rapa huyo,Mbali na Yo Gotti aliekuwepo eneo la tukio, Polisi imesema kuna watu wengine wawili amabao wanahusishwa na tukio hilo, Jitihada nyingi zinaelekezwa kuokoa maisha ya Young Dolph huku uchunguzi ukiendelea.

DAVIDO Amesema hajibu tena meseji za DM!, Kisa kazinguliwa na Demu: