Rapa huyu wa kike Cardi B anaweza kuwa tishio kwa Nick Minaj, amependekezwa mara nyingi zaidi kwenye tuzo za BET Hip Hop Awards 2017

Rapa wa kike, Hit maker wa 'Bodak Yello' Cardi B anaweza kuwa ni tishio kwa marapa wa kike Nick Minaj!

kwenye tuzo za BET mwaka huu zilizofanyika June 25, wakati majina ya wasanii wanaowania tuzo yalipotoka May 5 mwaka huu Cardi B alitangazwa kuwania vipengele viwili vya Msanii Mpya (Best New Artist) ambayo alishinda Chance the Rapper


Na pia alikuwa anawania kipengele cha tuzo ya Msanii Bora wa kike wa Hip Hop (Best Female Hip Hop artist) tuzo za BET Awards na utakumbuka tuzo ya Msanii Bora wa kike amekuwa akishinda Nick Minaj kwa miaka 7 mfululizo (7 years in a row kutoka mwaka 2010 - 2016) ila this time tuzo hiyo alishinda Remy Ma.
Sasa Cardi B anaonekana tishio kwa Nick Minaj na rapa wengine wa kike baada ya kuwa rapa pekee mwenye vipengele vingi zaidi kwenye tuzo za BET Hip Hop Awards, tuzo ambazo zimejikita kuangalia wasanii wanaofanya vizrui wa aina ya muziki wa Hip Hop Marekani.

Rapa kutoka pande za Brox, New York Marekani Cardi B amekula Nominations 9 kwenye tuzo za BET Hip Hop Awards mwaka huu akiwa rapa wa kike pekee kufanya hivo akiwa pamoja na Dj Khaled na Kendrick Lamar ndio wanaoongoza list hiyo kila mmoja akiwa na vipngele 9 anavyowania tuzo.

Si vipengele 9 tu, bali vipengele ambavyo ni vya heshima na vya tuzo kubwa kama Single of the Year, Best New Hip-Hop Artist and MVP of the Year. 

Wanaofatia kuwa na Nominations nyingi ni Jay-Z na Chance the Rapper wakiwa na vipengele vitanowanavyowania kila mmoja. 

LIST Kamili ya Mastaa wengine ni hii hapa na Vipengele wanavyowania:-


Album of the Year
DJ Khaled – Grateful
Future – FUTURE
J. Cole – 4 Your Eyez Only
Jay Z – 4:44
Kendrick Lamar – DAMN.
Migos – Culture
Best New Hip-Hop Artist
Aminé
Cardi B
Kodak Black
Playboi Carti
Tee Grizzley
Hustler of the Year
Cardi B
Chance the Rapper
Diddy
DJ Khaled
Jay Z
Kendrick Lamar
Made-You-Look Award (Best Hip-Hop Style)
A$AP Rocky
Cardi B
Future
Migos
Nicki Minaj
Best Mixtape
Cardi B – Gangsta Bitch Music Vol. 2
Gucci Mane – Droptopwop
Juicy J – Gas Face
Playboi Carti – Playboi Carti
Tee Grizzley – My Moment
Yo Gotti & Mike Will Made-It – Gotti Made-It
Sweet 16: Best Featured Verse
Chance the Rapper – “I’m the One” (DJ Khaled feat. Justin Bieber, Quavo, Chance The Rapper & Lil Wayne)
Gucci Mane – “Black Beatles” (Rae Sremmurd feat. Gucci Mane)
Lil Uzi Vert – “Bad and Boujee” (Migos feat. Lil Uzi Vert)
Nicki Minaj – “Rake It Up” (Yo Gotti feat. Nicki Minaj)
Ty Dolla $ign – “Ain’t Nothing” (Juicy J feat. Wiz Khalifa & Ty Dolla $ign)
Wiz Khalifa – “Ain’t Nothing” (Juicy J feat. Wiz Khalifa & Ty Dolla $ign)
Impact Track
Cardi B – “Bodak Yellow”
Jay Z – “Story of O.J.”
Kendrick Lamar- “HUMBLE.”
Kendrick Lamar – “DNA.”
Lecrae – “Blessings” feat. Ty Dolla $Ign
Tyler, the Creator – “Who Dat Boy” feat. A$AP Rocky
Best Hip-Hop Video
Cardi B – “Bodak Yellow”
DJ Khaled feat. Rihanna & Bryson Tiller – “Wild Thoughts”
French Montana feat. Swae Lee – “Unforgettable”
Future – “Mask Off”
Kendrick Lamar – “HUMBLE.”
Best Collabo, Duo or Group
DJ Khaled feat. Rihanna & Bryson Tiller – “Wild Thoughts”
French Montana feat. Swae Lee – “Unforgettable”
Migos feat. Lil Uzi Vert – “Bad and Boujee”
Rae Sremmurd feat. Gucci Mane – “Black Beatles”
Yo Gotti feat. Nicki Minaj – “Rake It Up”
Hot Ticket Performer
Cardi B
Chance the Rapper
Drake
J. Cole
Kendrick Lamar
Lyricist of the Year
Chance the Rapper
Drake
J. Cole
Jay Z
Kendrick Lamar
Video Director of the Year
Benny Boom
Colin Tilley
Dave Meyers & Missy Elliott
Director X
Hype Williams
DJ of the Year
DJ Drama
DJ Envy
DJ Esco
DJ Khaled
DJ Mustard
Producer of the Year
DJ Khaled & Nasty Beatmakers
DJ Mustard
London On Da Track
Metro Boomin
Mike Will Made-It
Pharrell Williams
MVP of the Year
Cardi B
Chance the Rapper
DJ Khaled
Jay Z
Kendrick Lamar
Single of the Year
“Bad and Boujee” – Produced By Metro Boomin (Migos feat. Lil Uzi Vert)
“Bodak Yellow” – Produced By J. White Did It (Cardi B)
“HUMBLE.” – Produced By Mike Will Made-It (Kendrick Lamar)
“Mask Off” – Produced By Metro Boomin (Future)
“Wild Thoughts” – Produced By DJ Khaled & Nasty Beatmakers (DJ Khaled feat. Rihanna & Bryson Tiller)