QUICK ROCKER:DIAMOND AMEVUNJA RECORD

Switcher Baba a.k.a Quick Rocker ameshindwa kujizuiya kwa kuona mkali Diamond Platnumz kufikisha views Million 1 ndani ya Saa 15.

Quick Rocker ameshindwa kuzizuiya hisia zake kupitia ukurasa wa instagram na kupost video akiwa anauzungumzia wimbo wa Diamond Platnumz aliowashirikisha kundi la Morgan Heritage wa Jamaica '' yoooh hatari mzee big sharout kwa Diamond, big tune Morgan wameuwa na wewe mwenyewe umeuwa, so i appriciate gud work bra ..,1 Million viewers in 15 hours nigga thats a record yeah, labda atokee mwingine avunje record in 12 hours lakini ni ngumu sana kutokea''mtazame hapa akizungumza.Lakini siyo mara ya kwanza  kwa mkali Quick Rocker kufanya hivyo pia aliwahi kupost video akiwa kwenye gari akimpongeza Heat maker wa wimbo wa Seduce me Allikiba baada ya kufikisha viewers million moja kwa muda wa siku moja.

Hatimaye record imevunjwa kama alivyowish Quick Rocker ya baada ya Seduce ya Alikiba kufikisha viewers million moja kwenye mtandao wa youtube na mkali Diamond Platnumz ameivunja kwa kufikisha viewers million moja kwa masaa 15.

Pia Mkali Quick Rocker amesema next week mashabiki wa OMG,watu wawe tayari kuupokea ujio mpya wa kundi la OMG ambao audio imerekodiwa na producer S2KEYS na Video imefanywa na Lucca Swahili...,

BONYEZA HAPA KUMTAZAMA MREMBO MIMI MARS AKIELEZEA UJIO WA COLLABLE NA MKALI QUICKROCKER,JOH MAKINI NA BILLNASS