Producer EMA THE BOY Hajulikani alipo kwa Siku 5 Sasa!

Mtayarishaji wa Muziki (producer) EMA THE BOY wa Hit Kama mahaba niuwe ya Maua Sama na zingine kubwa hajaonekana kwa takriban siku 5 sasa toka Septemba 10 na wala hajulikani alipo, wala hakuna taarifa yoyote kuhusiana na yeye.

Namba zake hazipatikani.

Hili ni tukio lingine la kushangaza la kutoenekana kwa mtu mzima na kushutua watu wa karibu na kiwanda cha burudani huku wasanii na watu maarufu wakitaka kama kuna mtu ana taarifa zake atoe kwa simu namba 0656388919 aunt kutoa taarifa kituo cha polisi.