PICHA ALIYOWEKA DIAMOND KUMTAKIA WEMA SEPETU HAPPYBIRTHDAY

Diamond amekuwa ni moja ya watu waliomtakia heri ya siku ya kuzaliwa mrembo Wema Sepetu,na nikawaida kwa Instagram kupost picha ya mtu ambae unamtakia heri ya siku ya kuzaliwa lakini Diamond yeye kamua kuja na idea ya tofauti kumwish Wema ni baada ya kupost picha hii hapa.