Ngoma Moja Watu 9: Ni Little Mix na CNCO Kwenye Reggaetone Lento Remix


Wadada wanne wanaounda kundi la Little Mix  wameungana na kundi la Boys watano wanaojiita CNCO Kuikamilisha remix ya "Reggaeton Lento", Ngoma fulani hivi yenye vibe za Night Clubs,

 Ikiwa na siku 10 tu kwenye Vevo channel ya LittleMix tayari video ya ngoma hiyo imeshagonga zaidi ya views milioni 18,

Video ya ngoma hii inaweza kusema kila kitu ambacho masikio yako yatasikia wakati umebonyeza Play Button kwenye kifaa chako, 

Kama ni shabiki wa vitu kama hivi chukua hii,Kwa mtazamo wangu, Ngoma hii inaweza kwenda mbali zaidi ya Level za "Despacito" ya Luis Fonsi ft JB na Daddy Yanke, 

Nini Mtazamo Wako Baada Ya Kusikiliza/Kuangalia?


DIAMOND amemfuata ZARI South Afrika, Cheki walivyokula Bata la kibabe kwenye Birthday ya Zari: