NEW VIDEO: DIAMOND PLATINUMZ FT MORGAN HERITAGE - HALLELUJAH #01 ON TRENDING YouTube

Mkali Diamond Platinumz kutoka Wasafi Classic (WCB) Amedropisha new video akiwashirikisha kundi la Morgan Heritage kutoka jamaica.


Diamond Platinumz a.k.a Chibu dangote aliandika jana kwenye ukurasa wake wa instagram, kuwaalika watu kuitazama video mpya ya wimbo wa hallelujah, Baraka Da Prince Na Jokate Mwegelo ni waliopost ujio huo mpya wa Chibu Dangote uliofanywa na Audio production ya LizerClassic na Video production imefanywa na Director Mr Moe Musa.

Cheki hapa Chupa Jipya la DIAMOND PLATINUMZ FT MORGAN HERITAGE - HALLELUJAHUNAWEZA CHECK JINSI DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOMZUNGUMZIA JOKATE MWEGELO NA WEMA KWENYE SHOW LA KIBABE THE PLAYLIST