NEW SONG:BARNABA-NAMPAGA


Heat maker wa Mpenzi jeneza Barnaba classic ameachia new audio ''Nampaga''ikiwa bado mapenzi jeneza inafanya vizuri sokoni.NEW AUDIO:BARNABA-NAMPAGA

  share comment yako utuambie wimbo ni mkali au angesubiri mapenzi jeneza isogee.

TAZAMA PIA BARNABA ALIVYOJIBU KUHUSU KUCHORA TATTOO YA  MAMA STEVE KWENYE SHOW LA KIBABE THE PLAYLIST YA TIMES FM