Mwanzilishi wa Playboy amefariki akiwa na miaka 91


Mwanzilishi wa jarida la Playboy Hugh HEfner amefariki dunia akiwa na miaka 91, Hefner alianzisha jarida hilo kwa mkopo wa $1000 kutoka kwa mama yake mwaka 1953, Chicago marekani.

Limekuwa jarida kubwa lenye maswala ya Sex na Mtindo wa Maisha na kuwa na brand kubwa ya Playboy.

Aliweza kufanya hadi TV Shows zikimuonesha yupo na totoz nyingi za moto kwenye Jumba moja kubwa wakijiachia, humo ndani ni full bikini nini.. kikubwa zaidi, pia alianzisha Jazz Festival na vitu vingi sana kafanya katika uwahi wake.

wengi mtakuwa umekutana na Logo hii, hii ni moja ya logo kubwa ambayo ni logo ya Playboy.


"I would like to be remembered as somebody who has changed the world in some positive way, in a social, sexual sense, and I'd be very happy with that," Hefner aliiambia CNN. "I'm a kid who dreamed the dreams and made them come true."