MTV EMA Kutolewa Novemba 12, Rita Ora Kusimamia Show Nominees Na Perfomers Hawajatajwa


Mrembo Rita Ora ametajwa kama host wa mwaka huu kwenye sherehe za utoaji wa Tuzo za MTV EMA Zitakazofanyika November 12 pande za London Uingereza,

Mbali na ku-host mpango mzima, Rita Ora pia atafanya perfomance ya ngoma yake mpya, wasanii watakao-perfom na wanaowania tuzo hizo hawajatangazwa rasmi.


P SQUARE Wamegombana, Wataka kuzichapa, Kundi lavunjika?