tahiya anaiomba mamlaka ya mawasiliano tanzania TCRA kumfungia amber ruty ukurusa wake wa instagram ''i think amber ruty afungiwe page yake ya instagram ama aitwe na basata kwanza anatuaibisha sisi wanawake mtu na akili zako hauwezi kufanya vile.,nikiingia kwenye instagram nakasilika''amber ruty ni mmoja kati ya video quen bongo ambaye anasifika kwa
picha ya model tahiya
PIA UNAWEZA KUMCHECK MREMBO TAHIYA KWENYE UZINDUZI WA SHOW LA KIBABE PLAYLIST BONYEZA HAPA CHINI