Mashabiki Wa The Lyons, Msimu Wa 4 Wa Empire Umeanza, Iangalie Hapa Episode Ya KwanzaMsimu wa 3 wa tamthilia ya Empire ulimalizika  tarehe 24, May 2017, CEO wa Empire Entertainment "Lucious Lyon" anaonekana kuumaliza msimu huo vibaya akiwa amepooza kitandani kwa kipindi cha takribani miezi mitatu kufuatia shambulio la bomu lililopangwa na Andre ambae ni mtoto wake wa kwanza,

Baada ya kuchukua brake ya Takribani miezi 4, Msimu wa 4 wa Empire umerudi na kwa mara ya kwanza Premiere inafnyika usiku wa kuamkia leo kupitia Channel "FOX", Lucious Lyon amaeonekana kurudi kwenye hali yake ya kawaida.


Kama imekupita bonyeza hapa Kuiangalia


Episode ya pili ya Series hiyo itaruka Oktoba 4 mwaka huu.


Ulimiss kitu gani kutoka "The Lyons" familia inayoishi kwa skendo na drama kila siku, Nani anakubamba, nani anzingua?...Dropisha Comment zako kwenye Twitter, FaceBook, na Instagram, Usisahau kuipigia kura ngoma unayoikubali kupitia hapa lilommy.com kuifanya ishike nafasi za juu zaidi.


P Square Imefikia Mwisho, Cheki Walivyozinguana Kwenye Video Hii: