MADEE:KWENYE WIMBO WA HELA MTOTO WANGU SAIDA AMEIMBA

Madee Ali ameelezea jinsi wimbo wake wa ''Hela'' ulivyokuwa unafanyika wakati walipokuwa studio Mj Records na Maneck.


Madee ali akiwa kwenye show la kibabe THEPLAYLIST ya TIMES FM ameelezea jinsi sauti za watoto wakiitikia kwenye wimbo wake wa ''Hela'' wakati tulipokuwa tunarecord na maneck,maneck akasema inabidi hapa ziusike sauti za watoto.basi kwa kuwa tulikuwa karibu na shule ambapo anasoma mwanangu basi nikadrop nikamchukua na akaingiza sauti kama inavyosikika'' ameeleza Madee akihojiwa na mtangazaji wa show la kibabe Lil Ommy.

MCHECK YOUNG D: HAWEZI KUGOMBANI DEMU NA DOGO JANJA WALA YOUNG KILLER!