LADY JAY DEE:MUZIKI NDIYO MAISHA YANGU


Mwanadada Mkongwe kwenye game ya Bongo Flavour Lady Jay Dee ameeleza ni kwanini anafanya vizuri  kwenye game kwa muda mrefu.

Lady Jay Dee hivi karibuni amerelease wimbo wake mpya '' I miss you'' ambao ameuachia hivi karibuni wenye viounjo vya HipHop ndani yake,amesema '' napenda kitu ninachokifanya na nakifanya kwa adabu na heshima zote ndiyo maisha yangu hakuna kingine zaidi ya muziki,ni kama mtu amesomea kazi fulani ni lazima afanye vizuri kazini na akifanya vibaya lazima atafukuzwa kazi kwa hiyo na mimi nataka nifanye kazi yangu vizuri ili niendelee kudumu uda wote.''
Pia Lady Jay Dee amekiri kuwa muziki wa bongo unakuwa sana na vijana wengi wanafanya vizuri ata quality za video za sasa hivi ni nzuri tofauti na video za nyuma.

BONYEZA HAPA UONE JINSI LEGENDARY KWENYE MUZIKI WA BONGO FLEVA LADY JAY DEE ALIVYORAP WIMBO WA I MISS YOU  KWENYE THE PLAYLIST YA TIMES FM :