Kylie Jenner na Travis Scott wanatarajia kupata mtoto

Kylie Jenner ni Mjazito, na mzigo ni wa Travis Scott, So couple hiyo kutoka Marekani, Jenner na Scott wanatarajia mtoto.


Kylie Jenner na Travis Scott wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza.

Kwa mujibu wa TMZ, Kylie ni mjamzito na tayari yeye na mpenzi wake wameshawaambia watu wao wa karibu.


Taarifa zinadai kuwa rapper huyo wa Houston amewaambia marafiki zake kuwa anatarajia kupata mtoto wa kike.


Kwa mujibu wa People mtoto huyo anatarajiwa kuzaliwa mwezi wa February, 2018.

inamaana Tyga alikua mpenzi mtazamaji kwa kipindi cha miaka mitatu wakati ana date mtoto mkali wa moto, Kylie Jenner?!


Vanessa MDEE Part 2 Ajibu kuhusu Kufanana VIDEO yake ya Kisela na ya Keri Hilson, Crush wake ni...