KIM AMETHIBITISHA KUPATA MTOTO WA TATU!Baada ya stori nyingi za chini chini kwa muda mrefu sana kuwa Kim K atatumia mwanamke mungine kupata mtoto waatu kwa kupanikiza mimb kwake finally Kim K ameonekana kuthibitisha kuwa wanatarajia mtoto soon na Kanye West kwa kutumia surrogate mum!

Kardashian ameonekana kuthibitisha ujio wa mtoto woa wa watatu kupitia Surrogate Mother, yani mama wa kupandikiza kwenye promo mpya ya show yao Keeping Up With the Kardashians, Season 14. Kuna sehemu wanaonekana watoto wao wawili North na Saint kama wanamenja harage hivi wakati huo kwenye Simu yupo Khloe Kardashian (Dada yake) halafu kuna maneno yanasikika kwenye maongezi yao (Kim na Khloe) yakisema

"What happens every time I say, 'Guess what?' Kim anauliza. Unajua nini kinatokea? 

Khloe anauliza kabla ya Kim kusema chohcote "The person's pregnant" Mjamzito? 

Halafu Kim anasema "We're having a baby!" OMG! Tunatarajia mtoto!

Promo hiyo inayoruka kupitia Channel E Marekani imefanya watu wenye mahesabu ya fasta kupigiamstari kuwa zile stori za Kim na Kanye West kumtumia mwanamke mungine kwa ajili ya kupandikiza mimba ili wapate mtoto wa watu kisha wamlipe asepe zake zinaanza kuwa kweli ingawa mara kadhaa Kim alionekana kukanusha kuwa stori za kutumia surrogate mum kwa ajili ya kupandikiza mimba ni za uongo!

Mchongo huo umekuja baada ya Kim kuonekana anashida katika mfumo wake wa uzazi na alikatazwa asibebe ujauzito kwa kuwa sio salama.Utakumbuka wakati Saint anazaliwa, Kim alipitia wakati mgumu sana na ilibidi aende hospitali ili mtoto aweze kugeuzwa ili zoezi la kujifungua lifanikiwe, Kim alipata maumivu makali sana mgongoni.