Kanye West Kamkalisha Jordan kwa kuuza viatu vingi zaidi na kushika namba 1, Jordan namba 2


Kwa mujibu wa kampuni ya kuangalia mauzo NPD Group, Adidas imeikalisha Jordan kwa kuwa brand namba 1 inayoongoza kwa kuuza viatu zaidi Marekani kuliko Jordan.


Mchambuzi wa michezo, Matty Powell alisema "I've never seen a brand in the sneaker industry grow this fast," Sijiwahi kuona brand ya viatu inakuwa kwa kasi kiasi hiki,
From January through August of this year, Adidas had 11.3 percent of the U.S. market share by dollars. That was up from the 6.6 percent the brand had over the same period last year.

Kutoka mwezi wa kwanza hadi wa 8. tayari Adidas imefikia mpaka asilimia 11.3 ndani ya Marekani kutoka asilimia 6.6 mwaka uliopita!

Wakati brand ya Jordan imeongezeka asilimia 1 tu, kutoka asilimia 9.4 mpaka kufikia asilimia 9.5 ndani ya kipindi cha mwaka mzima.

Adidas YEEZY by Kanye West

Jordan ikiwa chini ya brand ya Nike ndio ilikuwa inaongoza kwa mauzo Marekani lakini imeshuka kutoka asilimia (market share) 39 mwaka jana mpaka asilimia 37 mwaka huu!


Jordan 23
Mafanikio haya yanakuja baada ya Adidas kutoa brand kama za Superstar na Stan Smith, pamoja na Ultraboost ambazo zinatoka chini ya Kanye za Yeezy kwenye deal ambalo Adidas waliingia na Kanye West na kuonekana kuwa Yeezy ime jump over jumpman! ikiwa na maana kuwa Kanye kamzidi Jordan baada ya Adidas kupanda kuwa namba 1 kwenye mauzo Marekani na kuishusha Jordani chini Nike kuwa namba 2 na licha ya kuwa Nike bado in wakali wa mpira wa kikapu kama LeBron James, Kevin Durant na Kyrie Irving kama watu ambao wenye nguvu na ushawishi na wameingia deal na Nike katika brand ya viatu vyao.

Kumbuka Jordan ndio brand ambayo ilikuwa ikifanya vizuri katika soko la viatu Marekani kwa muda mrefu na kuona wachezaji basketball wakivaa, wasanii kwenye videos na misele lakini Yeezy imeonekana kuwa tishio na kufanya mapinduzi ya soko.

YOUNG D 'Siwezi kugombana na Mtu kisa Mwanamke, Tunda sio chanzo cha Beef langu na.....'