KANYE WEST AMEOMBA KUKUTANA NA JAY Z KUMALIZA BEEF LAO!Stori ni kwamba Kanye West ameomba kukutana na Jay-Z kumaliza beef lao.

Utakumbuka kuwa Jay-Z ndio mtu wa kwanza aliyegundua kipaji cha Kanye West baada ya kumpa shavu la kuwa Producer wa Rock-A-Fella Records na baaadae kumsign kama Rapper.


Kanye mwaka jana alipanda kwenye Stage na kumchana sana Jay-Z na Mke wake, Queen bey. Beyonce.
Jay-Z, call me, bruh. You still ain’t calling me. Ja- Z, call me. Aye, bruh, I know you got killers. "Please don’t send them at my head. Just call me. Talk to me like a man. I’m not trying to be the man. I just am a man, the same as anybody here.

Kanye Alisema kuwa Jay-Z ampigie Simu waongee kama brothers, asimtumie watu wa kumuua)

Aliendelea kusema: "Don't call me, after the robbery, and say 'How you feelin?' "You wanna know how I'm feelin? Come by the house. Bring the kids by the house. Like we're brothers. Let's sit down. I can't take this s**t bro. Our kids have never even played together." Alimlaumu Jay-Z kwa kutopiga simu wala kwenda kuwaona wakati Kim Kardashian, Mke wa Kanye alivovamiwa na kuibiwa Paris. Aliongeza kuwa watoto wao hawajawahi kucheza pamoja!Utakumbuka pia hata harusi ya Kanye na Kim, Jay-Z na Beyonce hawakuonekana! Sasa baadae Kanye alijiondoa na kufuta ngoma zake kwenye Mtandao wa Jay-Z Tidal.
Jay-Z nae alisema Kanye alivuka mipaka kwa kuhusisha familia yake (Beyonce, Blue Ivy) wakati anamchana kwenye stage.


Alisema "But what really hurt me, you can't bring my kid or my wife into it ... We've gotten past bigger issues, but you brought my family into it, now it's a problem with me. "You know it's a problem because me and him would have talked about it, resolved our issues. "And he knows he crossed the line. He knows. And I know he knows. 'Cause we've never let this much space go between one of our disagreements and we've had many. That's part of who we are." Hatujawai kufikia huku! Amevuka mipaka, tuna matatizo, tulitakiwa kuongezea kumaliza. •
inaonekana kuna matatizo mengi kati yao ambayo ilibadi wamalize wao wenyewe kama ukisoma vizuri line za mwisho za Jay-Z apo. •
Inadaiwa kuna wakongwe kadhaa wanaweza kuhusishwa na kupatana kwa jamaa hawa!