IZZO Business na Bill Nass kuonekana kwenye COKE STUDIO AFIRCA Msimu huu


Msimu watano wa Coke Studio Africa 2017 umerudi tena ukiwa na wakali kibao, and this time kwenye list kuna mkali Izzo B kutoka Bongo, Bill Nass, Rayvanny, Nandy, Alikiba na Producer Nahreel.

Kwenye Show itakayoruka Jumamosi ya Sept 30, 2017 wakali Izzo Business na Bill Nass watakonekana kupitia CloudsTV Saa 12 Jioni.