Huku Ukisikiliza "Message In A Bottle" Wewe Shabiki Wa Ty Dolla $ign "Mark" Oktoba 27 Kwenye Kalenda Yako

Mwanamuziki na Producer Ty Dolla $ign ameitangaza Oktoba 27 ya mwaka huu kuwa ndio siku maalumu atakayoachia Albamu yake Beach House 3, Albamu inayofuata baada ya Beach House 2 ya 2013,

 Mbali na kutangaza tarehe rasmi ya kuiachia Albamu hiyo Ty hajaiweka wazi orodha kamili ya ngoma wala kolabo zitakazopatikana kwenye Albamu hiyo, Lakini mnyamwezi huyo hakuwaacha fans wakae tu wakisubiri badala yake ameachia ngoma mbili ambazo ni “Dawsin’s Breek” featuring Jeremih, na“Message in a Bottle.” zitakazosubirisha ujio wa Albamu hiyo,

Kabla ya hapo Ty alikua tayari amerelease  “Love You Better” na “So Am I,” kwenye kolabo 
ya Damien Marley pamoja na Skrillex.

DOWNLOAD "Message In A Bottle" MP3

KAMA  SHOW YA THE PLAYLIST ILIKUPITA ICHEKI HAPA: