HII NDIYO SABABU YA MADEE KUTOONEKANA KWENYE VIDEO YA WIMBO WA SEMA:


Raisi wa Manzese na Member wa TipTop Connection Madee ameelezea sababu za kutoonekana kwenye video ya wimbo wa sema aliomshirikisha Nandy.

Baada ya mwenzi mmoja Madee tangu arelease kazi aliyomshirikisha Tecno kutoka Nigeria ''sikila'' pia wiki hii amedropisha tena new project yaani Video na Audio ya WIMBO wa Sema, lakini kilichowashangaza watu wengi sana ni kutoonekana madee kwenye video ambayo audio amesikika akiimba Madee na mrembo Nandy ''ni sanna tu,ukifanya kitu watu wakiulizana basi ni kitu kizuri,watu wengi wanashangaa lakini hawajaijua story ya video,mimi nimeact kama baba alafu ni tajiri pia ni mwanamuziki,ila nina mtoto wangu ambaye ni Janjaro ambaye anajivunia baba yake ni tajiri na mwanamuziki,wakati yupo safari anakutana na mdada lakini hakuweza kum-approach yule mdada na akanipigia simu kuniomba wimbo nimtumie ausikilize kumbe ameutumia kum-approach mtoto mzuri'' ameeleza madee.
Pia Madee anawashukuru mashabiki zake kwa kuupokea wimbo na video mpya ya ''sema''

HII HAPA NEW VIDEO YA MADEE FT NANDY-SEMA ITAZAME