HII NDIO IDADI KAMILI YA VIATU VYA MADEE

Msanii MADEE amesema moja ya vitu ambavyo anapenda sana ni viatu na kila siku lazima anajikuta ananunua viatu kitu ambacho kinamfanya kuwa na viatu vingi sana Ghetto,idadi kamili ya viatu ambavyo alikuwa navyo mpaka jana anahesabu ilikuwa ni pair 103. 
Japo Madee amekuwa akinunua viatu kila kukicha lakini kuna viatu vingine anaishia kuvigawa bila hata kuvivaa kwa kuwapa marafiki zake wa karibu. 

JAYMOE 'Siwezi kununua VIEWERS ingawa namba zina maana sana' WE ALL NEED NUMBERS Now