Godie - Inauma (Official Music Video)


Hali imekua mbaya kinoma, Kila mtu mtaani analalamikia speed ya mjomba Magu alivyoamua kutunyoosha na lugha yake ya "Asiefanya kazi asile, asipokula na afe", 

Kwa kuliona hilo Goddie ameamua kudropisha ngoma "Inauma" ambayo amejaribu kuelezea hali ilivyo mtaani katika mfumo wa wimbo' 

Enjoy Nayo Hapa:
Godie - Inauma (Official Music Video)