DIEGO COSTA AWALIZA MASHABIKI WA CHELSEA

Katika maisha ya soka Kuna kuwa na furaha sana pale mnapochukua makombe, mnaposhinda mechi muhimu, mnapokuwa safarini Ila kwenye maisha ya soka hakuna kitu kinauma kama pale ambapo mtu au mchezaji unaempemda sana akiondoka klabuni ya kuhama haswa kuhama kwa kutokupenda kuhama kwa kusababishiwa.

kauli hii inakwenda sambamba ma mfano hai wa straika Mkorofi uwanjani mwenye kiu ya mafanikio Diego Costa raia wa Hispania Anapoondoka chalsea kwa machungu ya kubezwa na kocha wa sasa wa chelsea Antonio Konte.

Costa ambae ameitumikia chelsea kwa miaka mitatu huku akifanikiwa kuwa chachu ya makombe mawili ya ligi kuu na  ngao ja jamii pia ameichezea chelsea mechi 120 akifunga magoli 59 huku akitoa pasi za mwisho zilizozaa magoli 24 anaondoka chelsea Huku akiacha vidonda vya maelfu ya mashabiki wakimkumbuka kwa mchango wake huo kwa klabu yao.

Diego Costa amewaga mashabiki wachezaji na timu nzima ya chelsea Kupitia ukurasa wake instagram kwenye caption alioandika kwa lugha mbili kihispania na kizungu yangu kingeleza huku akimalizia "because I could not lose faith in myself. Thank you Chelsea for everything!

Tufollow kwenye mitandao ya kijamii facebook/instagram/twitter @LilOmmy kwa info zaidi na Youtube pia Subscribe LilOmmyTV