DIDDY KAMCHANA RAIS WA MAREKANI DONALD TRUMP.


Puff Sean Combs aka Puff Daddy aka P. Diddy aka Diddy amemchana rais wa Marekani Donald Trump kwa kumwambia awe mtu mzuri, awe na moyo wa kibinadamu asiwe mtu ambaye anabagua watu hususani Wamarekani Weusi!

Diddy aliposti picha yenye ujumbe uliosema 'be a nice human' na kwenye Caption akaandika Dear Mr. Trump. Ujumbe ukiwa na maana ya kwamba, kwako Mr Trump, kuwa mtu mzuri.


Hiyo imekuja baada ya Donald Trump kuonekana anaubaguzi kwa Wamerekani Weusi.